Maana ya Kitenge ni nguo kama kanga lakini nzito haina maandishi, ina heshima kubwa barani Afrika na kinatumiwa na watu wa jinsia zote.

Vardy Alex Kitenge, Alizaliwa Oktoba 15, 2017 (Siku ya Jumapili saa 08:020 AM). Jina vardy limetokana na neno Verdy lenye maana ya Ukweli (Truthfull).…… enye kujitegemea (Self-realint). Kwa wafaransa “Vardy” wanamaanisha “A Man in a green uniform”, Mtu mwenye kuvaa sare za kijani hasa kwa wanajeshi ili wasionekane kirahisi kwa adui).

Asili ya jina Vardy ni Israel na nchi za ulaya (uingereza, Ufaransa). Jina vardy linatumiwa na mshambuliaji nyota wa Leicester City na timu ya taifa ya uingereza (Jamie Vardy ) aliyezaliwa Januari 11, 1987 huko Sheffield , Uingereza (England).

Vardy ni mwazilishi wa ukoo wa akina Kitenge toka katika Kijiji cha Manzeye huko Mbinga, Ruvuma. Kitenge ni jina maarufu la babu yake toka katika Kijiji cha Manzeye.

Wazazi wake: Alex Benwald Mapunda na Rozalia Kastori Komba wanaamini kwamba mwanao Vardy Alex Kitenge atakuwa msomi na mcheza soka maarufu hapa chini ya jua! Mwenyezi Mungu ndiye kiongozi na msimamizi mkuu wa Kitenge, Amini!


Jina vardy linatumiwa na mshambuliaji nyota wa Leicester City na timu ya taifa ya uingereza (Jamie Vardy ) aliyezaliwa  Januari 11, 1987 huko Sheffield , Uingereza (England).

Vardy ni mwazilishi wa ukoo wa akina Kitenge toka katika Kijiji cha Manzeye huko Mbinga, Ruvuma.  Kitenge ni Jina maarufu la babu yake toka katika Kijiji cha Manzeye.