JOHNSTAR JOSEPH BWEICHUMU. Alizaliwa 10july 1985, alianza elimu yake mwaka wa 1992 Kwa elimu ya awali kweye shule ndogo ya kanisa(K.K.K.T)Rwantege parish, Mwaka 1994 hadi 2000 alisoma shule za msingi za Rwantege pr shool na Nshamba Extended, alifaulu kwenda shule ya sekondary ya serikali ya KAIGARA Sec school,lakini kipindi icho ndo mpango wa kuanzisha shule za kata ulikuwa unaanza,akiwa kwenye furaha kidogo maana alitarajia kwenda shule ya nje ya mkoa wake,ghafla bin vuu alipangiwa kwenda shule ya kata ila wazazi wake waliamua kumpeleka afanye interview na kujiunga na shule ya kikristo ya Iluhya sec school. Akiwa ndo anaingia kidato cha pili wazazi wake wote walikufa na ikambidi arudi kijijini kwao kwani alikuwa anasoma shule ya bweni ya mbali na akahamia shule ya sekondary ya biirabo iliyoko km kama 30 kutoka jijini kwao, Alimaliza kidato cha nne mwaka 2004 na siku hiyo ya kumaliza mtihani aliondoka kwao akielekea kutafta maisha(anasema ndoto yake ni kuwa star,in anyway) mwaka 2009 alihitimu masomo ya uha